- 1,834 viewsDuration: 9:34Idadi ndogo ya wapigakura imejitokeza kushiriki uchaguzi wa seneta mpya wa Baringo. Uchaguzi huo umewavutia wagombea sita ambao wanaazimia kuziba pengo lililoachw awazi kufuatia kifo cha marehemu seneta William Cheptumo, aliyeaga dunia februari mwaka huu.