27 Nov 2025 11:32 am | Citizen TV 3,676 views Duration: 5:56 Shughuli ya upigajikura inaendelea vema katika eneobunge la magarini kaunti ya Kilifi ambapo wakazi 80,128 wanapigakura kumchagua mbunge mpya baada ya mahakama kubatilisha uchaguzi wa Harrison Kombe.