- 1,686 viewsDuration: 7:32Wapiga kura katika wadi ya Kariobangi North hapa Nairobi wanaendelea kufika katika vituo vya kupigia kura katika uchaguzi mdogo wa kuchagua mwakilishi wadi mpya eneo hilo. Wapiga kura 24,500 ndio wanatarajiwa kushiriki uchaguzi huo ambao umevutia wawaniaji 16. Uchaguzi huu unaandiliwa baada ya kifo cha Joel Munuve mwezi wa nne mwaka huu.