Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Nanam na Lakezone Turkana wachagua MCA

  • | Citizen TV
    448 views
    Duration: 3:32
    Zoezi la upigaji kura katika wadi mbili kaunti ya Turkana linaendelea vyema. Wakazi wa Wadi ya Nanam Turkana Magharibi na Lakezone Turkana Kaskazini wanashiriki zoezi hilo baada ya wawakilishi wa maeneo hayo kuaga dunia.