27 Nov 2025 2:07 pm | Citizen TV 599 views Duration: 1:37 Licha ya mchakato wa upigaji kura kuendelea kwa amani na bila hitilafu yoyote, idadi ndogo ya wapiga kura imejitokeza katika uchaguzi mdogo wa wadi ya Chemundu-Kapngetuny, Kaunti ya Nandi.