- 15,127 viewsDuration: 4:54Watu 23 wamekamatwa eneobunge la Kasipul kaunti ya Homa Bay wakati wa uchaguzi mdogo, baada ya kupatikana na mapanga ndani ya magari yao. Aidha, vijana waliojihami walimvamia na kumjeruhi mbunge wa Homa Bay Town Peter Kaluma kabla ya kumpokonya mlinzi wake bastola.