Skip to main content
Skip to main content

Mbunge wa Kilifi south Ken Chonga afurushwa na wafuasi wa DCP huku uchaguzi ukiendelea Magarini

  • | Citizen TV
    4,944 views
    Duration: 4:53
    Katika eneobunge la Magarini kaunti ya Kilifi mbunge wa Kilifi South Ken Chonga alifurushwa na wafuasi wa chama cha DCP kwa tuhuma za kuwahonga wapiga kura. Hata hivyo katika maeneo mengi ya eneobunge hilo, zoezi hilo limeendelea kama lilivyopangwa huku baadhi ya wapiga kura wakifika vituoni na wagonjwa kabla ya kuelekea hospitalini