- 4,598 viewsDuration: 4:18Mkanganyiko, taharuki na madai ya ulaghai yalitawala uchaguzi mdogo wa Wadi ya Narok Town, ambao ulishuhudia idadi ndogo ya wapiga kura. Katika Kituo cha Kupigia Kura cha Masikonde, mojawapo ya vituo vikuu katika wadi hiyo - vurugu zilishuhudiwa siku nzima huku ulinzi mkali wa polisi ukiimarishwa. Wakati mmoja, idadi ya maafisa wa polisi na mawakala wa vyama ilizidi ile ya wapiga kura