- 6,244 viewsDuration: 6:03Uchaguzi wa useneta kaunti ya Baringo ulikamilika bila matukio yoyote makubwa huku usalama ukiwa umeimrishwa katika maeneobunge yote sita ya kaunti hii. Hata hivyo, Idadi ndogo ya wapiga kura ilishuhudiwa huku vijana wakionekana kususia uchaguzi huo.