28 Nov 2025 11:07 am | Citizen TV 4,181 views Duration: 4:29 Tukielekea eneobunge la Magarini kaunti ya Kilifi mgombea wa ODM Harrisson Kombe ametangazwa mshinda kwa kuzoa kura 17,909 dhidi ya mpinzani wake wa karibu Stanley Kenga wa DCP aliyezoa kura 8,907.