- 399 viewsDuration: 1:15Katika uchaguzi wa ubunge wa Ugunja Moses Omondi Okoth wa chama cha ODM ametangazwa kuwa mbunge mteule baada ya kupata kura 9,447 na kumbwaga mpinzani wake wa karibu Odhiambo Orodi wa wiper patriotic front aliyepata kura 1,819 .