Skip to main content
Skip to main content

Anthony Kyalo Kisoi wa Wiper Patriotic Front atangazwa MCA Mumbuni North

  • | Citizen TV
    675 views
    Duration: 1:52
    Katika wadi ya Mumbuni North, Anthony Kyalo Kisoi wa Wiper Patriotic Front ametangazwa mshindi wa kiti hicho baada ya kuzoa kura 3, 849 katika uchaguzi mdogo uliomalizika hivi punde. Kisoi alimpiku kidogo Harrison Wambua wa maendeleo chap chap aliyepata kura 2,766