28 Nov 2025 1:21 pm | Citizen TV 3,595 views Duration: 1:24 Douglas Masikonde wa DCP ametangazwa kuwa mwakilishi wadi mteule wa Narok mjini. Masikonde amezoa kura 5,997 dhidi ya mpinzani wake wa karibu wa chama cha UDA Kanyinke Ole Kudate aliyepata kura 4,479 .