28 Nov 2025 1:28 pm | Citizen TV 799 views Duration: 2:01 Mwaniaji wa chama cha UDA wadi ya Chewani katika kaunti ya Tana River Sofia Maro ametangazwa mshindi baada ya kuzoa kura 1,427 dhidi ya mpinzani wake wa karibu Barakatu Guyo wa chama cha Ford-Kenya aliyepata kura 1352.