28 Nov 2025 1:41 pm | Citizen TV 442 views Duration: 1:25 Wadau wa sekta ya Mafunzo ya Ufundi na Ufundi Stadi (TVET) wameonyesha upya dhamira yao ya kuimarisha mfumo wa unaolenga kuwawezesha vijana kupata ujuzi unaohitajika katika soko la kazi.