28 Nov 2025 1:45 pm | Citizen TV 355 views Duration: 1:32 Jitihada za kuondoa silaha na kuunganisha tena wahalifu wanaohusishwa na makundi ya silaha zimepata msukumo baada ya uzinduzi wa Kituo cha Ushauri Nasaha na Mafunzo ya Ufundi katika Gereza la Shimo la Tewa kaunti ya Mombasa.