- 529 viewsDuration: 2:06Bradley Omondi kutoka Kaunti ya Kakamega ameibuka mshindi katika shindano la Rubani Challenge kwenye Shabiki.com, na kujinyakulia shilingi nusu milioni. Omondi alipewa fursa adimu ya kuvinjari eneo la Naivasha. Kwa Hisani ya Shabiki.com ili kusherehekea ushindi Huo.