- 31,020 viewsDuration: 3:15Rais William Ruto amesifia ubabe wake na wa chama cha UDA kufuatia chaguzi ndogo zilizofanyika hapo jana, akisema ushindi huo unaashiria imani ya wakenya kwake kwani ana ajenda ya kuwafaidi. Rais aliongoza sherehe za ushindi akisema kwamba ushindi huo unaashiria atawabwaga wapinzani kwenye uchaguzi mkuu ujao wa mwaka wa 2027.