28 Nov 2025 7:07 pm | Citizen TV 4,703 views Duration: 2:26 Viongozi wa chama cha ODM wameongoza wafuasi wao kusherehekea ushindi katika uchaguzi mdogo wa hapo jana. Mwenyekiti wa ODM Gladys Wanga alitumia fursa hiyo kuhimiza umoja ndani ya chama cha chungwa.