Skip to main content
Skip to main content

ELOG yasema IEBC iliendesha chaguzi ndogo sawa katika maeneo mbalimbali

  • | Citizen TV
    688 views
    Duration: 2:34
    Licha ya ghasia zilizoshuhudiwa kwenye chaguzi ndogo katika maeneo mbalimbali, Muungano ya waangalizi wa uchaguzi umepongeza IEBC kwa kuendesha shughuli ya upigaji kura kwa njia ya uwaz. Shirika la ELOG limesema IEBC iliwajibikia uchaguzi huo na kuitaka kushughulikia changamoto kubwa ya ghasia za uchaguzi kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2027.