Skip to main content
Skip to main content

Ujenzi wa barabara ya Lironi-Mau Summit kuzinduliwa

  • | Citizen TV
    7,172 views
    Duration: 2:46
    Rais William Ruto amezindua mradi wa ujenzi wa barabara kuu ya Rironi kuelekea Mau Summit unaotarajiwa kugharimu serikali zaidi ya shilingi bilioni 170. Rais Ruto ametoa hakikisho kwamba barabara hiyo itasuluhisha tatizo la msongamnao wa magari, ajali za kila mara na kuimarisha biashara nchini na katika nchi jirani za Afrika Mashariki.