- 8,645 viewsDuration: 1:48Viongozi wa upinzani nao wamkashifu wanachokitaja kama utumizi mbaya wa asasi za serikali na mali ya umma kwenye kampeni za chaguzi ndogo zilizokamilika. Wakihudhuria mazishi ya mamake Seneta wa zamani wa Embu Lenny Kivuti, viongozi hao wamesema chaguzi ndogo zilikumbwa na ukiukaji mkubwa wa sheria za uchaguzi na katiba na kuonya kuwa mwenendo huo utalipeleka taifa pabaya.