Skip to main content
Skip to main content

Serikali yashughulikia ongezeko la HIV miongoni mwa vijana kabla ya Siku ya Ukimwi

  • | Citizen TV
    392 views
    Duration: 2:59
    Kenya inapojiandaa kuadhimisha siku ya Ukimwi, serikali inasema imeandaa mikakati kukabiliana na ongezeko la maambukizi haya haswa miongoni mwa vijana. Washikadau waliojitokeza kwa mbio maalum kabla ya maadhimisho ya hapo kesho wakiangazia mikakati ya kuhakikisha kuwa inakimbizana na muda kuondoa kabisa maambukizi mapya miongoni mwa vijana hawa