Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa eneo la Shirikisho Garsen wamkataa chifu

  • | Citizen TV
    471 views
    Duration: 2:15
    Wakazi wa eneo la Shirikisho na vitongoji vyake katika eneo bunge la Garsen, Kaunti ya Tana River, wamefanya maandamano kushinikiza kupewa lokesheni yao mpya wakilaumu Chifu wa sasa kwa madai ya upendeleo na unyanyasaji.