1 Dec 2025 10:51 am | Citizen TV 284 views Duration: 1:39 Uongozi wa Kanisa la PCEA umeungana na viongozi wengine nchini kukashifu vurugu za kisiasa zilizoshuhudiwa kabla na baada ya chaguzi ndogo zilizopita.