- 23 viewsDuration: 1:19Wito umetolewa kwa serikali kuboresha sheria za kukabiliana na uhalifu wa kidijitali hususan unyanyasaji unaolenga wasichana na wanawake huku siku 16 za uanaharakati dhidi ya Dhulma za Jinsia zikitarajiwa kukamilika Jumatano hii. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya