Skip to main content
Skip to main content

Sikukuu ya uhuru wa Tanzania yaadhimishwa kwa mitaa mitupu

  • | BBC Swahili
    7,030 views
    Duration: 9:18
    Tanzania imeadhimisha sikukuu ya uhuru wake kwa mitaa iliyosalia mahame. Maandamano ya amani yaliyopangwa kufanyika siku ya leo yalipigwa marufuku na mamlaka za serikali yakidaiwa kuwa hayakukidhi matakwa ya kisheria. Taarifa katika miji mikuu nchini Tanzania, zimeeleza kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vilishika doria katika maeneo mbalimbali ya nchi. #DiraYaDuniaTV