Skip to main content
Skip to main content

Mahabusu Kitale wahitimu na kupata ujuzi

  • | Citizen TV
    665 views
    Duration: 1:50
    Wafungwa 65 katika Gereza la Kitale Annex wamehitimu baada ya kupata mafunzo ya kiufundi katika mahafali yaliyofanyika ndani ya uwanja wa gereza hilo.