11 Dec 2025 11:52 am | Citizen TV 2,801 views Duration: 25:59 Matokeo ya thathmini ya KJSEA kutolewa alasiri. Wanafuzi kuteuliwa kwa sekondari ya juu disemba 15 Rufaa za uteuzi kuwasilishwa disemba 23- januari 6 Wanafunzi kujiunga na sekondari ya juu januari 12, 2026