11 Dec 2025 12:04 pm | Citizen TV 1,831 views Duration: 15:33 Matokeo ya thathmini ya KJSEA kutolewa alasiri. Wanafuzi kuteuliwa kwa sekondari ya juu disemba 15 Rufaa za uteuzi kuwasilishwa disemba 23- januari 6 Wanafunzi kujiunga na sekondari ya juu januari 12, 2026