11 Dec 2025 1:16 pm | Citizen TV 711 views Duration: 1:00 Mahakama Kuu imesimamisha Kwa muda utekelezaji wa Mkataba wa Ushirikiano wa Afya kati ya Serikali ya Kenya na Serikali ya Marekani, uliotiwa saini tarehe 4 Desemba 2025.