11 Dec 2025 1:03 pm | Citizen TV 8,389 views Duration: 51s Wizara ya Elimu inatarajiwa kutoa matokeo ya Tathmini ya Elimu ya Sekondari Msingi (KJSEA) ya mwaka 2025 alasiri ya leo.