- 427 viewsDuration: 3:18Mamia ya wazee wajane kutoka lokesheni 5 kule kaunti Bomet wametoa wito kwa serikali kubuni hazina maalum ya kushughulikia maswala yao nchini. Katika kikao maalum na maafisa wa serikali na shirika la kupiga jeki wanaume wajane, umaskini, kutelekezwa, mihadarati na magonjwa ndizo changamoto kuu zinazoathiri wanaume walioachwa pweke baada ya vifo vya wake zao.