- 228 viewsDuration: 3:35Wakazi na hasa wakongwe katika eneobunge la Teso Kusini kaunti ya Busia wamehimizwa kuzingatia usafi wa macho na meno, ili kupunguza idadi ya juu ya magonjwa ya viungo hivyo. Ukosefu wa hamasisho ya usafi wa mwili nyanjani umechangia kusambaa kwa maradhi hayo huku wengi wakikosa kutafuta matibabu.