Skip to main content
Skip to main content

Taasisi ya kimataifa ya usimamizi wa maji (IMWI) kufadhili miradi

  • | Citizen TV
    313 views
    Duration: 2:27
    Wizara ya Maji imetia saini mkataba wa ushirikiano na Taasisi ya Kimataifa ya Usimamizi wa Maji—IWMI—unaolenga kuimarisha usimamizi wa maji, ufanisi wa umwagiliaji maji mashambani na utoshelevu wa chakula nchini.