11 Dec 2025 1:59 pm | Citizen TV 285 views Duration: 1:41 Kamati ya kitaifa kuhusu malalamishi ya mazingira imetoa makataa ya wiki mbili kwa kampuni zinazotupa taka katika majaa ambayo si halali kuondoa takataka hizo mara moja.