Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Tarbaj kaunti ya Wajir wataka wapewe kibarua

  • | Citizen TV
    293 views
    Duration: 1:15
    Katika Kaunti ya Wajir, wakazi wa Eneo Bunge la Tarbaj waliandamana wakilalamikia mchakato wa ujenzi wa barabara ya Tarbaj hadi Kutulo.