- 2,641 viewsDuration: 2:50Rais william ruto amesisitiza azma yake ya kuhakikisha kenya imejiunga na safu ya mataifa yaliyostawi zaidi duniani, akitoa ahadi kochokocho ambazo anasema zitaanza kutekelezwa kuanzia wiki ijayo. Kwenye maadhimisho ya sikukuu ya jamhuri, rais ruto aliwarai wakenya kuendeleza amani ili kufanikisha ruwaza hiyo.