Skip to main content
Skip to main content

Cyrus Jirongo: Mwanasiasa jasiri na mfanyabiashara tajika

  • | Citizen TV
    4,223 views
    Duration: 4:05
    Kumbikizi ya Cyrus Jirongo inaashiria mwanasiasa aliyetamba kwa urefu wa maisha yake katika Ulingo wa siasa lakini Pia kama mfanyabiashara tajika mwenye utajiri mkubwa na kusifiwa na wandani wake kama mtu mkarimu aliyekosa mipaka.