- 8,109 viewsDuration: 2:22Mamia ya wafanyibiashara jijini Nairobi walivamia ofisi za kampuni moja ya kuuza simu za malipo ya polepole wakidai kuhangaika baada ya simu zao kuzimwa. Wanasema kuwa wamekuwa wakilipia simu hizo ila ghafla ziliacha kufanya kazi.Wafanyibiashara hao wanalalamikia hasara kwani wateja wao hawana njia ya kuwasiliana nao.