Skip to main content
Skip to main content

Watu wanane wafariki kwenye ajali ya barabarani Ekerenyo, Nyamira; dereva atoroka

  • | Citizen TV
    545 views
    Duration: 2:45
    Idadi ya watu waliofariki kufuatia ajali iliyotokea eneo la Ekerenyo kaunti ya Nyamira usiku wa kuamkia leo sasa imefika watu wanane. Wengine wanane bado wako hospitalini wakipokea matibabu. Maafisa wa usalama bado wanamtafuta dereva wa trela aliyetoweka baada ya ajali hiyo iliyohusika trela hilo na matatu