14 Dec 2025 7:34 pm | Citizen TV 2,427 views Duration: 1:40 Familia na jamaa za marehemu mbunge wa zamani Cyrus Jirongo aliyefariki kwenye ajali ya barabarani usiku wa kuamkia jumamosi imetaka majibu kuhusu utata unaozingira kifo chako.