Skip to main content
Skip to main content

Zaidi ya watu 17 wafariki barabarani Disemba huku NTSA na polisi wakishika doria kuzuia ajali

  • | Citizen TV
    3,058 views
    Duration: 3:03
    Zaidi ya watu 17 wamefariki katika ajali mbalimbali za barabarani katika muda wa wiki mbili za kwanza za mwezi huu wa Disemba huku hofu ikiibuka kuhusu ongezeko la vifo barabarani msimu huu wa likizo. Kulingana na Halmashauri ya usalama barabarani NTSA, ajali nyingi zimesababishwa na ukiukaji wa sheria za trafiki. NTSA wakishirikiana na polisi wa trafiki wameshika doria barabarani msimu huu.