Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa kanisa Kajiado wawataka madereva kuwa makini

  • | Citizen TV
    267 views
    Duration: 1:41
    Naibu Askofu wa kanisa la AIC Kajiado, Askofu John Kiroka, ametoa wito kwa watumiaji wa barabara kuwa waangalifu ili kuepuka ajali zinazoweza kuzuilika.