- 402 viewsDuration: 3:01Watu zaidi ya 17 wamefariki katika ajali mbalimbali za barabarani katika muda wa wiki mbili za kwanza za mwezi huu wa Disemba huku hofu ikiibuka kuhusu ongezeko la vifo barabarani msimu huu wa likizo. Kulingana na mamlaka ya uchukuzi na usalama barabarani NTSA, ajali nyingi zimesababishwa na ukiukaji wa sheria za trafiki. Na kama anavyoarifu Serfine Achieng’ Ouma, NTSA wakishirikiana na polisi wa trafiki wameshika doria barabarani msimu huu.