Skip to main content
Skip to main content

Mvulana wa miaka 20 alipigwa risasi na maafisa wa polisi huko Kilindini

  • | Citizen TV
    1,813 views
    Duration: 1:53
    Viongozi kutoka kaunti ya Tana River wamekashifu vikali mauaji ya kijana mmoja mwenye umri wa ishirini aliyepigwa risasi na polisi na kuwauwa papo hapo katika eneo la Kilindini.