15 Dec 2025 10:23 am | Citizen TV 495 views Duration: 1:36 Wakazi katika eneo bunge la Ndaragwa Kaunti ya Nyandarua wametaka polisi watumie mbwa wa kunusa kuwanasa wezi wa mifugo ambao wamekuwa wakiwahangaisha eneo hilo.