15 Dec 2025 10:26 am | Citizen TV 116 views Duration: 1:22 Wadau wa elimu pamoja na wanafunzi wanaotarajiwa kujiunga na sekondari ya juu huko Kisii wameirai serikali kushughulikia uhaba wa walimu, vitabu na kuweka miundo msingi ya kufanikisha elimu ya wanafunzi wa gredi ya 10.