Skip to main content
Skip to main content

Dkt. Omollo: Serikali imejizatiti kuimarisha sekta ya elimu

  • | Citizen TV
    422 views
    Duration: 2:25
    Katibu wa Wizara ya usalama Dkt. Raymond Omollo, amethibitisha tena azma ya Rais William Ruto ya kuongeza ufadhili unaolenga kuimarisha sekta ya elimu. Akizungumza huko Nyatike wakati wa shughuli tofauti, Dkt. Omollo alisema takriban asilimia 30 ya bajeti ya kitaifa inatengwa kwa ajili ya elimu ili kuwezesha kuajiri walimu na ujenzi wa vituo vya kujifunzia nchini kote......