Skip to main content
Skip to main content

Taasisi ya Mtaala yaondoa hofu ya uhaba wa vitabu vya gredi ya 10

  • | Citizen TV
    231 views
    Duration: 2:24
    Taasisi ya Mtaala nchini iliwaondolea wazazi na wanafunzi hofu kuhusu uhaba wa vitabu kabla ya mpito wa wanafunzi wanaojiunga na sekondari ya Juu. Taasisi ya KICD ikikiri kuwa vitabu bado havijachapishwa kutokana na madeni ya wachapishaji vitabu, imeshikilia kuwa serikali iko kwenye mipangilio ya kutoa fedha hizo.